Wednesday, January 2, 2013

R.I.P JUMA KILOWOKO 'SAJUKI'

Marehemu Sajuki enzi za uhai wake, picha kushoto juu Sajuki wakati akiwa na afya njema na katikati akiwa mgonjwa na pembeni ni mkewe Wastara.Sajuki aliyefariki leo alfajiri atazikwa keshokutwa katika makaburi ya Kisutu.

 

1 comment: