Wednesday, April 8, 2015

MANGE'S KIMAMBI COLLECTION

Mange Kimambi

The Jump suit &crop top 160,000/-


Jamani huyu dada anauza nguo nzuriiiii hatari tena straight kutoka Marekani, na hizi ni moja ya nguo nilizonunua na kunogesha wardrobe yangu, ukitaka na wewe yako tembelea ofisini kwake katika jengo la Dar Free Market ghorofa ya tatu......

KLYN AND REGINALD MENGI WEDDING

Awwww the bride
Cute

Yes, I do.....in Kyln voice


Happy Couple

After wedding.....Mauritius Island

Congratulations

Who next??????

Wednesday, March 25, 2015

DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo ambalo i mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine nchini.
Mjengo wa Diamond upo Tegeta na tayari mwanamuziki huyo pamoja na mchumba wake kutoka Uganda Zari wamekwishamia katika mjengo huo.
Congrats bro.....

ALLY REMTULAH 2015 ELEGANZAThe best and the only designer in Tanzania Ally Remtulla, passing the stage immediately after the show which held in Dar es Salaam recently.(Picture from Sintah Blog).

Wednesday, June 18, 2014

HOUNDSTOOTH TREND

Hello friend, Houndstooth Trend wear is now available in my store so get yours now..call 0752161600, sophie Collection located at Tabata Relini Opp St. Mary's Teacher's College, Karibuni sana.Wednesday, April 23, 2014

Friday, April 18, 2014

GOOD FRIDAY....IT'S FINISHED

I am the witness
to his fearless death.
I am a token of his
last promise
Forgiveness
I am the CROSS


 

Blessings on Good Friday.May on this GOOD FRIDAY we start it with
Fasting and Prayers so that we can bring
God’s mercy and forgiveness on all mankind
Lets Pray together…..