Wednesday, April 8, 2015

MANGE'S KIMAMBI COLLECTION

Mange Kimambi

The Jump suit &crop top 160,000/-


Jamani huyu dada anauza nguo nzuriiiii hatari tena straight kutoka Marekani, na hizi ni moja ya nguo nilizonunua na kunogesha wardrobe yangu, ukitaka na wewe yako tembelea ofisini kwake katika jengo la Dar Free Market ghorofa ya tatu......

No comments:

Post a Comment