Tuesday, January 1, 2013

MFARANSA WA SIMBA ASAINI MKATABA

Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akibadilishana mikataba na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig baada ya kusaini mkataba wa miezi minane leo katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Simba, Evodius Mtawala na nyuma ni Meneja wa hoteli ya Spice, Mzee Moshi Omar Mbury. 



Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akimshuhuidia kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig akisaini mkataba wa miezi minane leo katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam.  

Katibu wa Simba, Mtawala akiwaongoza Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig kusaini. Nyuma ni Meneja Moshi. (Picha kwa Hisani ya www.bongostaz.blogspot.com).


No comments:

Post a Comment