Wednesday, January 16, 2013

MANJI AJITOSA BODI YA LIGI

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji, akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi ya Ligi Kuu Tanzania  Bara. Manji amesema atahakikisha anasimamia na kujenga misingi imara ya kuzifanya klabu kujitegemea.

Alisema atakuwa tayari kufanya kazi kwa bidii na kuzisaidia klabu ili ziweze kuwa katika hali nzuri kwa kuzijengea mfumo imara na kuziwezesha kujitegemea.

No comments:

Post a Comment