MALINZI, NYAMLANI WAUVAA URAIS TFF
Jamal Malinzi akishuka kwenye gari na kwenda Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuchukua fomu za kuwania urais wa shirikisho hilo.
Athuman Nyamlani akihesabu kitita cha sh. 500,000, kwa ajili ya kuchukua fomu kuwania urais
Malinzi akijaza fomu za kuwania urais wa TFF (Picha kwa hisani ya www.bongostaz.blogspot.com), Thanks my brother Mahmoud Zubeiry.
No comments:
Post a Comment