| Kikosi cha stars kikisalimia mashabiki. |
| Hahodha Juma Kaseja akiwatambulisha wachezaji wenzake. |
| Simon Msuva akikata sebene |
| Nahodha wa Chipolopolo Cristopher Katongo akishangaa wachezaji wenzake wanavyocheza sebene. |
| Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia wakisakata rumba |
| Burudani za kucheza na nyoka nazo zilikuwepo |
| Akina dada wa kundi la muziki la Scopion nao walitoa burudani. |
No comments:
Post a Comment