Kikosi cha stars kikisalimia mashabiki. |
Hahodha Juma Kaseja akiwatambulisha wachezaji wenzake. |
Simon Msuva akikata sebene |
Nahodha wa Chipolopolo Cristopher Katongo akishangaa wachezaji wenzake wanavyocheza sebene. |
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia wakisakata rumba |
Burudani za kucheza na nyoka nazo zilikuwepo |
Akina dada wa kundi la muziki la Scopion nao walitoa burudani. |
No comments:
Post a Comment