MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu', anayekabiliwa na mashitaka ya kumuua aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba, akisindikizwa na askari kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana, kuendelea na kesi hiyo ambapo upelelezi wa kesi hiyo umekamilika.
|
No comments:
Post a Comment