Wednesday, December 5, 2012

Kutoka kwangu!

Habari, Napenda kuwakaribisha katika blog yangu ambayo itakuwa ikikuletea habari na matukio mbalimbali yahusuyo mitindo, muziki, habari za kitaifa na kimataifa.

Natarajia kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwenu kwani ninyi mtakaotembelea blog hii ndio mtakaokuwa wadau wakubwa wa blog yangu kwa kunisaidia kupata habari na wakati mwingine ushauri jinsi ya kuboresha blog hii.

Blog hii itakuwa tofauti na nyingine kwani haitaruhusu matusi, umbea wala habari za kizushi kwa ajili ya kuchafuana.

Thanks.

No comments:

Post a Comment