In Africa kaika pozi matata.
Bendi maarufu ya InAfrika, imeshatua nchini Ujerumani ambapo ndipo
walipoweka kambi yao ya kujiandaa na tour ya bara Ulaya na Uturuki.Akiongea nami, kiongozi wa bendi hiyo, Roy, amesema kwamba kikosi kamili cha InAfrika Band kipo tayari wakiongozana na Mama Africa Circus ili kutoa burudani ya aina yake kwa mashabiki wa muziki na sanaa barani Ulaya. Amewaomba watanzania mbalimbali wanaoishi barani Ulaya kutowaachia wazungu pekee katika kuhudhuria matamasha hayo bali pia na wao kujitokeza na kufurahia kile ambacho InAfrika Band wamekiandaa.
No comments:
Post a Comment